.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 2 Juni 2015

Tagged Under:

PROFESA MUHONGO NA URAIS 2015. KUTANGAZA NIA LEO JUMANNE MUSOMA KATIKA UKUMBI WA OPEN UNIVERSITY HALL.

By: Unknown On: Jumanne, Juni 02, 2015
  • Share The Gag


  • Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni