.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 3 Juni 2015

Tagged Under:

KWA DAU HILI KUTOKA KWA REAL MADRID RAHEEM STERLING LAZIMA AONDOKE TU LIVERPOOL. CITY MTASUBIRI!

By: Unknown On: Jumatano, Juni 03, 2015
  • Share The Gag

  • Real Madrid wameweka dau nzito na kutaka ndani ya wiki mbili Raheem Sterling asaini mkataba na timu hiyo ya Spain. Kutokana na Raheem kukataa kusaini mkataba mpya na Liverpool, club nyingi zimeonyesha nia ya kumsaini.
    Real inategemea kufungua mazungumzo na Liverpool na kuwalipa €60 million (£45m) ili Raheem Sterling ahamie Real ndani ya wiki mbili zijazo.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni