Tagged Under:
NOVAK DJOKOVIC ATWAA TAJI LA WEMBLEDON
By:
Unknown
On: Jumanne, Julai 14, 2015
Mserbia Novak Djokovic ameshinda taji la Wimbledon baada ya kumfunga mpinzani wake wa mara zote Roger Federer.
Djokovic
ametetea ubingwa wake mara mbili mfululizo mara zote akimpiga mpinzani
wake Federer. Roger Federer ni mshindi mara saba wa Wimbledon na wawili
hawa wamewahi kukutana mara 40 na kila mmoja kamfunga mwenzake mara 20.
Kama si kipigo hicho kwa Federer alikuwa na matumaini ya kuwa mwanaume wa kwanza kushinda Wimbledon mara nane.
Novak mwenye miaka 28, alishinda kwa 7-6 (7-1) 6-7 (10-12) 6-4 6-3
Soma Zaidi Hapa »
0 maoni:
Chapisha Maoni