Tagged Under:
MARIO BALOTELLI AFUNGULIWA MLANGO WA KUONDOKA ANFIELD KIMYA KIMYA!!
By:
Unknown
On: Alhamisi, Julai 23, 2015
Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli ameambiwa kuwa hatima yake ipo mikononi mwake.
Mchezaji
huyo mtukutu raia wa Italia kwa sasa hajasafiri na wenzake wa Liverpool
katika ziara kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi baadae mwezi
Agosti.
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amenukuliwa akisema hana
uhakika iwapo ataendelea kuwa na Balotelli Liverpool moja kwa moja
katika msimu huu.
Liverpool imefanya ziara ya kujiandaa na ligi katika nchi za Asia , Australia na Malyasia lakini Balotelli yeye hakuwepo.
0 maoni:
Chapisha Maoni