Jumanne, 7 Aprili 2015
Tagged Under:
KUNDI
la muziki wa kizazi kipya nchini, YAMOTO BAND lenye maskani yake Temeke
Jijini Dar es Salaam,Usiku wa kuamkia leo limetoa Burudani ya nguvu kwa
Wakaazi wa Mji wa Bukoba ikiwa ni kuhitimisha sikukuu za Pasaka katika
Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night Club. 












Nyomi ya kufa mtu waliofikakatika Shoo hiyo.
YAMOTO BAND WAFUNIKA PASAKA BUKOBA, MAMIA WAWASHUHUDIA "LIVE"
By:
Unknown
On: Jumanne, Aprili 07, 2015
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni