
Akizungumzia Mechi hii, Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa, amesema ni muhimu kushinda Mechi hii ya Nyumbani na pia kuwa makini na staili ya kupoteza muda ambayo Etoile du Sahel wanategemewa kuitumia.

Etoile du Sahel inatarajiwa kutua Dar es Salaam leo hii kwa Ndege ya kukodi.

Mechi za Kwanza Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Mechi kuchezwa Wikiendi ya Aprili 18
Association Sportive Olympique de Chlef vs Club Africain
Djoliba AC vs Hearts of Oak
Young Africans vs E.S. Sahel
Royal Leopards vs AS Vita Club
Onze Createurs vs ASEC Mimosas Abidjan
Warri Wolves vs Etanchéité
CF Mounana vs Orlando Pirates
Al Zamalek vs Fath Union Sport de Rabat
Marudiano Wikiendi ya Mei 5
Washindi 8 wa Raundi hii watajumuika na Timu 8 zilizobwagwa nje ya UEFA CHAMPIONZ LIGI na kuwekwa kwenye Droo maalum kupanga Mechi 8 za Mtoano na Washindi wake 8 kutinga hatua ya Makundi ambayo yatakuwa na Makundi mawili ya Timu 4 kila mmoja yatakayocheza Mtindo wa Ligi wa Nyumbani na Ugenini.
0 maoni:
Chapisha Maoni