Jumanne, 7 Aprili 2015

YAMOTO BAND WAFUNIKA PASAKA BUKOBA, MAMIA WAWASHUHUDIA "LIVE"


KUNDI la muziki wa kizazi kipya nchini, YAMOTO BAND lenye maskani yake Temeke Jijini Dar es Salaam,Usiku wa kuamkia leo limetoa Burudani ya nguvu kwa Wakaazi wa Mji wa Bukoba ikiwa ni kuhitimisha sikukuu za Pasaka katika Ukumbi wa Burudani wa Lina's Night Club.











Nyomi ya kufa mtu waliofikakatika Shoo hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni