
Luis Suárez(kulia) Akishangilia bao lake la dakika ya mapema
Luis
Suárez leo kafanya maajabu kwa kuifungia Timu ya Barca bao ndani ya
dakika 1 na kuipa bao la kuongoza 1-0 dhidi ya Valencia.
Dakika za majeruhi Lionel Messi alifunga bao lake la 400 na kufanya mchezo kumalizika kwa bao 2-0.
2-0
0 maoni:
Chapisha Maoni