You might also like:
Jumatano, 11 Januari 2017
Tagged Under:
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (Kushoto)
akikabidhi Bendera ya Taifa kwa Mwanamuziki wa nyimbo za Bongo Fleva,
Nasibu Abdul ‘Diamond’ Dar es Salaam leo, kabla ya kwenda kuliwakilisha
Taifa kwa kufanya shoo wakati wa ufunguzi wa michuano ya Soka Barani
Afrika (AFCON 2017). Wapili kulia ni Balozi wa DStv, Lucas Mhavile
‘Joti’.
DIAMOND AKABIDHIWA BENDERA YA TAIFA KUTUMBUIZA UZINDUZI WA AFCON
By:
Unknown
On: Jumatano, Januari 11, 2017
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 maoni:
Chapisha Maoni