Ligi
ya Spanish Primera División, Mtanange wa Real Madrid umemalizika hivi
punde na huku Vinara wa ligi hiyo Real Madrid wakiichakaza Bao 5-0 Timu
ya Chini ya Granada. Bao za Real Zimefungwa na Isco (12', 31') Karim Benzema (20') Cristiano Ronaldo (27') Casemiro (58')
0 maoni:
Chapisha Maoni