.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 2 Oktoba 2015

Tagged Under:

VAN PERSIE AIONGOZA FENERBAHCE KUPATA SARE YA UGENINI EUROPA LEAGUE

By: Unknown On: Ijumaa, Oktoba 02, 2015
  • Share The Gag

  • Feneberhce ya Uturuki imejitutumua ikiwa ugenini Glasgow na kufanikiwa kupata sare ya mabao 2-2 katika michuano ya Kombe la Europa.

    Ikiongozwa na Robin van Persie, Feneberhce ililazimika kusawazisha ikitoka chini kwa mabao 2-0 hadi kuwa 2-2.

    Shuja alikuwa ni Fernandao ambaye alifunga mabao yote mawili ya kusawazisha katika dakika za 43 na 48.



    0 maoni:

    Chapisha Maoni