Sevilla FC waliofnga bao ni Michael Krohn-Dehli dakika ya 52 na lile la Vicente Iborra dakika ya 58 na kufanya bao kuwa 2-0. Barcelona
walifungiwa bao lao na Neymar dakika ya 74 kwa mkwaju wa penati na
mtanange kumalizika Sevilla wakiwa kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya
Barcelona.Sevilla wakishangilia bao mbele ya Mashabiki waoIborra alipotupia baoNeymar Suarez akishangaa shangaa baada ya kukosa bao la waziChupuchupu! Suarez afunge bao!
0 maoni:
Chapisha Maoni