Jumapili, 4 Oktoba 2015

LA LIGA: FULL TIME...SEVILLA 2 v 1 BARCELONA, BARCA WALALA UGENINI, MICHAEL KROHN-DEHLI NA VICENTE WAGAWA KICHAPO!


 Sevilla FC waliofnga bao ni Michael Krohn-Dehli dakika ya 52 na lile la Vicente Iborra dakika ya 58 na kufanya bao kuwa 2-0.
Barcelona  walifungiwa bao lao na Neymar dakika ya 74 kwa mkwaju wa penati na mtanange kumalizika Sevilla wakiwa kidedea kwa bao 2-1 dhidi ya Barcelona.Sevilla wakishangilia bao mbele ya Mashabiki waoIborra alipotupia baoNeymar Suarez akishangaa shangaa baada ya kukosa bao la waziChupuchupu! Suarez afunge bao!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni