.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumapili, 4 Oktoba 2015

Tagged Under:

Ukali wa Jose Mourinho haukusaidia Chelsea kupata ushindi, haya ni matokeo ya mechi yao dhidi ya Southampton

By: Unknown On: Jumapili, Oktoba 04, 2015
  • Share The Gag

  • Jose Mourinho akichachamaa!!3-1Mabingwa CHELSEA wakicheza kwao Darajani mbele ya mashabiki 41642, wamefungwa na Southampton bao 3-1. Kipindi cha kwanza kilimalizika 1-1 na kipindi cha pili Sputhampton walifunga bao mbili dakika ya 60 na dakika ya 72. Chelsea bao lao lilifungwa na Willian dakika ya 10 na dakika ya 43 Steven Davi aliisawazishia bao Southampton kwa kufanya 1-1. Sadio Mane dakika ya 60 na lile la Graziano Pellé dakika ya 72 na mtanange kumalizika dakika 90 Southampton wakiibuka kidedea kwa bao 3-1 dhidi ya Mabingwa hao.Pelle akifanya mavitu
    3-1Shangwe!Jose akishangaa shangaa leo DarajaniBao!Mane akishangilia bao lake Mane akitupia..1-1Asante Willian!! Akipongezwa na wenzake!1-0Willian akishangilia kwa kupetaMbele ya MashabikiFalcao alipojitupa chini kwenye 18 na kupewa kadi ya njano!Aaaah!
    VIKOSI:
    Chelsea starting XI
    : Begovic, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Fabregas, Willian, Oscar, Hazard, Falcao
    Chelsea subs: Zouma, Baba, Pedro, Remy, Matic, Blackman, Loftus-Cheek
    Southampton starting XI: Stekelenburg, Cedric Soares, Fonte, van Dijk, Bertrand, Romeu, Wanyama, Mane, Steven Davis, Tadic, Pelle
    Saints subs: Kelvin Davis, Yoshida, Long, Rodriguez, Martina, Ward-Prowse, Juanmi

    0 maoni:

    Chapisha Maoni