
Majaji wakiendelea na Kazi yao na hapa wakiteta jambo mezani na Mwandaaji wa Shindano hilo Tesso Boy(kulia).
Msanii mkongwe nchini, Inspector Haroun
Mwandaaji wa Shindano hilo Teso Boy (kulia) akiteta na Msanii mkongwe Nchini, Inspector Haroun
Taswira kamili ya Uzinduzi wa Mashindano hayo ya Nani mkali yaliyofanyika kwenye Ufukwe wa Ziwa Victoria Maarufu katika Eneo hilo Kiroyera Beach.
0 maoni:
Chapisha Maoni