
Siku hiyo pia kutakuwa na mechi kati ya
Kariakoo ya Lindi na Changanyikeni FC ya Dar es Salaam itakayochezwa
kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi, wakati Uwanja wa Kumbukumbu ya
Sokoine jijini Mbeya utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Wenda FC ya Mbeya
na Madini SC ya Arusha.
Bingwa
wa michuano hiyo inayodhaminiwa na Azam Sports HD ataiwakilisha
Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka
2017.
Ratiba ya raundi ya awali ya michuano hiyo imeambatanishwa (attached).
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
RATIBA YA AWALI
Ratiba ya raundi ya awali ya michuano hiyo imeambatanishwa (attached).
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
RATIBA YA AWALI
08.11.2015 |
1 |
JKT RWANKOMA |
VILLA SQUAD |
KARUME-MUSOMA |
|
08.11.2015 |
2 |
WENDA FC |
MADINI FC |
SOKOINE |
|
08.11.2015 |
3 |
KARIAKOO |
CHANGANYIKENI |
ILULU |
|
10.11.2015 |
4 |
SABASABA FC |
ABAJALO TABORA |
MABATINI |
|
10.11.2015 |
5 |
MILAMBO FC |
THE MIGHTY ELEPHANT |
ALI HASSAN MWINYI |
|
11.11.2015 |
6 |
SINGIDA UNITED |
BULYAKHULU SC |
NAMFUA |
|
11.11.2015 |
7 |
ABAJALO DAR |
TRANSIT CAMP |
KARUME |
|
11.11.2015 |
8 |
MKAMBA RANGERS |
MVUVUMWA |
KILOMBERO |
|
21.11.2015 |
9 |
AFC |
POLISI MARA |
SHEIKH AMRI ABEID |
|
21.11.2015 |
10 |
PAMBA SC |
POLISI DODOMA |
CCM KIRUMBA |
|
22.11.2015 |
11 |
PANONE FC |
COCACOLA KWANZA |
USHIRIKA |
|
22.11.2015 |
12 |
MAGEREZA IRINGA |
POLISI DAR |
WAMBI MUFINDI |
|
23.11.2015 |
13 |
POLISI TABORA |
GREEN WARRIORS |
ALI HASSAN MWINYI |
|
24.11.2015 |
14 |
RHINO RANGERS |
ALLIANCE |
ALI HASSAN MWINYI |
|
25.11.2015 |
15 |
RUVU SHOOTING |
COSMOPOLITAN |
MABATINI |
|
26.11.2015 |
16 |
POLISI MOROGORO |
MSHIKAMANO |
JAMUHURI MOROGORO |
0 maoni:
Chapisha Maoni