
Mpaka dakika 90 zinakatika hakuna bao!

Meneja mpya Remi Garde
Chini
ya Meneja mpya Remi Garde kwenye Mechi yake ya kwanza tu, Aston Villa
Leo wamegangamala na kutoka Sare ya 0-0 na Vinara wa Ligi Kuu England
Manchester City.
Mechi hii iliyochezwa Villa Park, Nyumbani kwa Ason
Villa, Timu hiyo ambayo iko mkiani mwa Ligi ilijipanga vizuri kwenye
Difensi na mara kadhaa kuitishia City wakati wakifanya kaunta ataki.

Meneja mpya Remi Garde wa Aston Villa nae kashuhudia sare hiyo iliyokuwa ya aina yake Villa Park!

Mashabiki
wakionesha mfano wa nyoka juu wakimaanisha juu ya mchezaji Fabian
aliyehamia City na leo kuonekana Uwanjani dhidi ya Timu yake ya zamani
Villa.

Kipa wa City Joe akipangua mpira kwenye eneo la hatari

Navas akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao

Kompany akimiliki mpira

Meneja wa City akitoa maelekezo kwa wachezaji wake Uwanjani

Scott akimtoka Kevin

Ayew na Kompany wakichuana vikali

Kevin de B.
0 maoni:
Chapisha Maoni