.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

Tagged Under:

YANGA SC 3 vs 0 TANZANIA PRISONS, YANGA YAENDELEA VYEMA TENA LEO! IPO KILELENI!

By: Unknown On: Alhamisi, Septemba 17, 2015
  • Share The Gag

  • Ni mara nyingine tena kwa Timu ya Tanzania Prisons kupoteza dhidi ya Yanga Sc na kwa mabao yale yale ya 3-0. Leo hii ilikuwa Katika Uwanja wake wa Nyumbani Yanga na kuifunga Prisons bao 3-0 ambapo mpaka mtanange unamalizika Prisons walibaki wachezaji 10 baada ya Mwenzao kuoneshwa kadi nyekundu

    0 maoni:

    Chapisha Maoni