Tagged Under:
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: PSV 1 vs 2 MANCHESTER UNITED, LUKE SHAW AUMIA! UNITED WALALA UGENINI EINDHOVEN!
By:
Unknown
On: Alhamisi, Septemba 17, 2015
Viongozi wa Man United, katikati ni Meneja Van Gaal
Kipa David De Gea akipagawa
Ni shida!! martial alicheza dakika 90 lakini hakuweza kufunga bao
2-1
Raha ya ushindi
Wenyeji
PSV Eindhoven walitoka nyuma kwa Bao 1 na kuichapa Man United Bao 2-1
katika Mechi ya kwanza yak UNDI B la UEFA CHAMPIONS LIGI.
1-0
Depay akishangilia bao lake
Man
United walipata pigo baada ya Fulbeki wao Luke Shaw kuumizwa vibaya na
Hector Moreno katika Dakika ya 15 alietolewa nje kwa Machela baada ya
kuhudumiwa Uwanjani kwa Dakika 10 ikidhaniwa amevunjika Enka yake ya
Kulia na nafasi yake kushikwa na Marcos Rojo.
Man
United walifunga Bao lao kupitia Memphis Depay, Mchezaji alietoka PSV,
katika Dakika ya na Hector Moreno kusawazisha kwa Kichwa katika Dakika
ya 45.
Hadi Mapumziko, PSV 1 Man United 1.
Kipindi cha Pili,
PSV, ambao waliwatawaliwa mno, walifunga Bao lao la ushindi katika
Dakika ya 57 tena kwa Kichwa na Luciano Narsingh katika Dakika ya 57.
Balaa la maumivu baada ya kuumizwa vibaya mguu
Chini akijiuguza Luke Shaw
Mpaka chini
Luke Shaw alivyoingiliwa na kuumizwa goti lake
Kikosi cha Man United
PSV: Zoet, Arias, Bruma, Moreno, Brenet, Narsingh, Propper, Hendrix, Guardado, Lestienne, De Jong.
Subs: Pasveer, Pereiro, Schaars, Poulsen, Locadia, Vloet, De Wijs.
Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Schweinsteiger, Ander Herrera, Young, Mata, Depay, Martial.
Subs: Romero, Rojo, Carrick, Valencia, Fellaini, Schneiderlin, McNair.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
0 maoni:
Chapisha Maoni