Shane Long Dakika ya 79 aliisawazishia bao Southampton na Mtanange kumalizika dakika 90 kwa sare. Georginio Wijnaldum kipindi cha
pili dakika ya 48 aliwaongezea bao la pili Newcastle United na kufanya
we mbele ya bao 2-1 dhidi ya Southampton. Dakika ya 42 Papiss Demba Cisse aliisawazishia bao Timu yao na kufanya 1-1 na mtanange kwenda mapumziko ukiwa sare ya 1-1. Graziano
Pellé dakika ya 24 aliifungia bao la kuongoza kwa kichwa ambacho kipa
wa Newcastle United aliingia nao ndani ya nyavu baada ya kupata krosi
kutoka kwa Cédric.Papiss Cisse akitamba dakika ya 43Massadio Haidara akimchomoka Dusan
0 maoni:
Chapisha Maoni