



Dakika ya 79 Club Brugge wanapata pengo
baada ya mwenzao Mechele kucheza rafu tena na kuoneshwa kadi nyekundu na
kubaki 10 Uwanjani.Timu hizi zitarudiana Wiki ijayo Jumatano Agosti 26
huko Belgium na Mshindi kutinga hatua ya Makundi ya UEFA CHAMPIONS
LEAGUE.
Depay akishangilia bao lake
2-1
Carrick alipoteza machungu ya kujifunga hapa!
Mpaka nyavuni!
Chicharito kauanza msimu mpya leo hii...alichukuwa nafasi ya Januzaj kipindi cha pili
Dakika
ya 43 Memphis Depay aliwapachikia tena bao la pili Man United na
kufanya bao kuwa 2-1 dhidi ya Club Brugge na mtanange kwenda mapumziko
United ikiwa mbele.
Rooney akipambana
Rooney tena"
Rooney hatari kabisa!
Wachezaji wawili wa Club Brugge wakipongezana baada ya kupata bao la zawadi dakika ya 8 kupitia kwa Carrick.
Wachezaji wa Man United wakijiuliza baada ya kutanguliwa bao na wapinzani wao Club brugge
Salaam! 1-0
Carrick alipojimaliza!
Dakika ya 13 Depay anaisawazishia Man United baada ya kuwakaanga mabeki ndani ya 18 na kumfunga kipa wa Club Brugge Bruzzese.















Michael Carrick anajinga bao dakika ya 8
baada ya kupigwa mpira wa adhabu na kuutengua na kumwamisha kipa na
mpira kujaa kambani..
Sir Alex Ferguson Ndani Old Trafford
Kikosi cha Man United kilichoanza dhidi ya Club Brugge
Depay kacheza kwa kiwango cha juu na kuipa bao mbili Man United



0 maoni:
Chapisha Maoni