
Wachezaji wa Arsenal wakishangilia Ubingwa wao ambao umepatikana kwa kuifunga bao 3-1 Everton

Arsenal 3-1 Everton, Mikel Arteta akiwa amebeba Kombe lao leo hii

Mikel Arteta akiwa amebeba Kombe leo

Mesut Ozil ndiye aliyeifungia bao la tatu Arsenal kwa kufanya 3-1 dhidi ya Everton zote za Ligi Kuu England

Ross aliipatia bao la pekee Everton

Santi Cazorla kafunga la pili

Theo Walcott akishangilia mara baada ya kufunga bao la kwanza

Theo Walcott

Jack na Tom kwenye kasi

Gibbs akiruka juu kugombea mpira

Kikosi cha Arsenal

Kikosi cha Everton kilichoanza kikipata picha ya pamoja
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni