Jumapili, 19 Julai 2015

KAGAME CUP: YANGA SC 1 vs 2 GOR MAHIA, WAKENYA WAANZA VYEMA KAGAME ILIYOANZA RASMI LEO DAR!


Kikosi cha Yanga
Kikosi cha Gor-Mahia

Mchezaji wa Yanga, Amis Tambwe akiwa chini huku wachezaji Collins Okoth (kulia) na Harun Shakava (kushoto) wa Gor Mahia ya Kenya wakiwania mpira wakati wa mchezo wa ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Kagame uliochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. Yanga imefungwa mabao 2-1.

Mashabiki wa Yanga

WENYEJI Yanga wameanza vibaya kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame, baada ya kufungwa mabao 2-1 na Gor Mahia ya Kenya katika mchezo wa Kundi A kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni