.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatano, 14 Oktoba 2015

Tagged Under:

RAIS KIKWETE AFUNGUA HOSPITALI YA UTAFITI NA TIBA DODOMA

By: Unknown On: Jumatano, Oktoba 14, 2015
  • Share The Gag



  •   Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi.
    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.



    Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin Mkapa UltraModern Hospital mjini Dodoma leo

    0 maoni:

    Chapisha Maoni