.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 1 Septemba 2015

Tagged Under:

UHAMISHO: JAVIER HERNÁNDEZ ‘CHICHARITO’ ATUA LEVERKUSEN

By: Unknown On: Jumanne, Septemba 01, 2015
  • Share The Gag
  • Javier Hernandez ‘Chicharito’ sasa yupo mbioni kumaliza Miaka yake Mitano na Manchester United kwa kuhamia Klabu ya Germany Bayer Leverkusen kwa Dau linalokadiriwa kuwa Pauni Milioni 8.75.
    Msimu uliopita Chicharito alikuwa huko Real Madrid kwa Mkopo na Msimu huu kurudi tena Old Trafford lakini amekuwa hana namba na kununuliwa kwa Anthony Martial kutoka AS Monaco ndiko kunamwondoa.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni