.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

Tagged Under:

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: DINAMO ZAGREB 2 vs 1 ARSENAL,

By: Unknown On: Alhamisi, Septemba 17, 2015
  • Share The Gag

  • Junior Fernandes dakika ya 58 aliiongezea bao la pili kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira wa kona na kufanya 2-0. Arsenal walizinduka na dakika ya 79 Theo Walcott aliwafungia bao la kwanza baada ya kuwazidi ujanja wa mbio mabeki wa Dinamo Zagreb na mtanange kumalizika kwa 2-1. Mtanange huu Arsenal walipata pigo pale mchezaji wao Giroud alipooneswa kadi nyekundu na kuifanya timu kucheza pungufu 10 Uwanjani.Bao la Dinamo Zagreb ni la kujifunga kupitia kwa Alex Oxlade-Chamberlain kipindi cha kwanza dakika ya 24. Olivier Giroud katupwa nje kwa kuoneshwa kadi nyekundu
    VIKOSI:
    Dinamo Zagreb: Eduardo, Ivo Pinto, Sigali, Taravel, Pivaric, Soudani, Paulo Machado, Ademi, Antolic, Fernandes, Pjaca.
    Akiba: Jezina, Henriquez, Hodzic, Coric, Benkovic, Rog, Matel.

    Arsenal: Ospina, Debuchy, Gabriel, Koscielny, Gibbs, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Arteta, Sanchez, Ozil, Giroud.
    Akiba: Cech, Walcott, Monreal, Flamini, Chambers, Campbell, Coquelin.
    Referee: Ovidiu Alin Hategan (Romania)

    0 maoni:

    Chapisha Maoni