.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 12 Septemba 2015

Tagged Under:

RATIBA LA LIGA WIKIENDI HII MSIMU WA 2015/2016, REAL MADRID UGENINI NA ESPANYOL, BARCELONA NAO UGENINI DHIDI YA ATLETICO MADRID.

By: Unknown On: Jumamosi, Septemba 12, 2015
  • Share The Gag

  • Mabingwa Watetezi Barcelona na Real Madrid, Wikiendi hii wanarejea tena kwenye La Liga baada ya kusimama kwa Wiki 2 kupisha Mechi za Kimataifa na wote wapo Ugenini wakibadilishana Miji ambayo ndio makazi yao.
    Jumamosi, Barcelona wako Ugenini huko Jiji la Madrid kucheza na Atletico Madrid Uwanjani Vicente Calderon wakati Real Madrid wako Jijini Barcelona kucheza na RCD Espanyol Uwanjani Estadi Cornellà-El Prat.
    Mbali ya kubadilishana Miji, Barca na Real kila mmoja anamvaa Mpinzani wa Jadi wa mwenzake lakini kitu kingine cha kuvutia ni kutaka kuona kama Masupastaa wa La Liga, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi kama wataweza kufungua hesabu zao za Magoli Msimu huu mpya baada ya kutoka kapa katika Mechi 2 za La Liga kwa Timu zao hadi sasa.
    Kwa Wikiendi hii La Liga itaanza Ijumaa kwa Mechi 1 kati ya Levante na Sevilla na Jumamosi zipo Mechi 4 na Jumapili 4 huku Jumatatu ikichezwa Mechi 1.
    LA LIGA
    RATIBA
    Ijumaa Septemba 11

    2130 Levante v Sevilla FC
    Jumamosi Septemba 12

    1700 RCD Espanyol v Real Madrid CF
    1915 Sporting Gijon v Valencia C.F
    2130 Atletico de Madrid v FC Barcelona
    2300 Real Betis v Real Sociedad
    Jumapili Septemba 13
    1300 Granada CF v Villarreal CF
    1700 Athletic de Bilbao v Getafe CF
    1915 Celta de Vigo v Las Palmas
    2130 Malaga CF v SD Eibar
    Jumatatu Septemba 14
    2130 Rayo Vallecano v Deportivo La Coruna

    0 maoni:

    Chapisha Maoni