.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumanne, 1 Septemba 2015

Tagged Under:

Pichaz za baadhi ya mastaa waliowasili katika timu zao za taifa, Ronaldo, Depay na Sanchez wapo pia..

By: Unknown On: Jumanne, Septemba 01, 2015
  • Share The Gag

  • Wiki hii ni wiki ya mechi za kimataifa kwa upande wa bara la Ulaya wao timu zao za taifa zitakuwa na mechi za kuwania kufuzu kucheza michuano ya Euro2016, ila kwa upande wa Afrika timu za taifa zitacheza michezo ya kuwania kufuzu katika michuano ya AFCON 2017.
    2BD8659C00000578-3217081-image-m-37_1441032271425
    Memphis Depay wa Man United akiwa Uholanzi
    Cristiano Ronaldo tayari yeye ameshajiunga na timu yake ya taifa ya Ureno na kuanza mazoezi. Timu ya taifa ya Ureno yenyewe itacheza mechi moja ya kirafiki siku ya Septemba 4 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa kabla ya kusafiri kwenda kucheza mechi na Albania ya kuwania kufuzu Euro 2016.
    Alex Sanchez naye amejiunga na timu yake ya taifa ya Chile kujiandaa na mechi za kimataifa za kirafiki ambazo zipo katika kalenda ya FIFA alipiga picha na kuweka katika mtandao wa twitter. Chile wataikaribisha Paraguay siku ya Jumamosi ya Septemba 5.
    sanchez
    2BD8629600000578-3217081-image-a-38_1441032287637
    Arjen Robben akiwa Uholanzi tayari

    0 maoni:

    Chapisha Maoni