.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 10 Agosti 2015

Tagged Under:

UHAMISHO: CHELSEA WAMSAJILI BABA RAHMAN WA GHAMA.

By: Unknown On: Jumatatu, Agosti 10, 2015
  • Share The Gag

  • www.bukobasports.comChelsea wamekubaliwa kumsaini Beki wa Ghana Baba Rahman.
    Beki huyo mwenye Miaka 21 anaichezea Klabu ya Germany FC Augsburg na atagharimu Pauni Milioni 20 huku Pauni Milioni 14 zikilipwa kwanza na nyingine Pauni Milioni 6 zitalipwa akifikisha Mechi 100.
    Baba Rahman amenunuliwa baada ya Chelsea kutonywa na Meneja wao wa zamani Avram Grant ambae sasa ni Kocha wa Timu ya Taifa ya Ghana.
    Fulbeki huyo wa Kushoto analetwa kuziba pengo la Filipe Luis ambae ameuzwa kwa Atletico Madrid.

    0 maoni:

    Chapisha Maoni