Mesut Ozil
Ligi kuu ya Uingereza inaanza tena siku ya jumapili wakati ambapo mabingwa wa ligi hiyo Chelsea wanakutana na washindi wa kombe la FA Arsenal katika kombe la Charity Shield itakayogaragazwa katika uwanja wa Wembley.
Mechi hiyo inajiri siku 64 baada ya kumaliza ligi hiyo na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Aston Villa katika fainali ya FA.
Pande zote mbili hazijafanya usajili mkubwa katika msimu huu ijapokuwa kipa Petr Cech ataanzishwa dhidi ya timu yake ya zamani Chelsea.
Makipa - Emiliano, David Ospina na Petr Cech
Chelsea vilevile inaweza kumuanzisha mchezaji wao mpya Radamel Falcao.
Falcao mwenye umri wa miaka 29 alihudumu katika kilabu ya Manchester United msimu uliopita lakini hakuweza kutamba kwani aliweza kufunga mabao 4 katika mechi 29 alizocheza pekee.
Siku
ya jumapili itazikutanisha timu hizo mbili huku mkufunzi wa Arsenal
akitarajia kuishinda timu inayofunzwa na Mourinho kwa mara ya kwanza
kati ya mechi 13 walizocheza huku wakufunzi hao wawili tayari
wakitofautiana. Mourinho alisema kwamba Arsenal imetumia fedha nyingi
msimu huu ikilinganishwa na Chelsea katika kipindi cha miaka kadhaa
iliopita ,huku Wenger akijibu kwamba hasikizi kile watu wanachosema ama
kufikiri.
Aaron Ramsey
Ramsey kwa furaha wakati wa mazoezi
Mesut Ozil
Kocha Arsene Wenger akiwacheki Vijana wake wakati wa mazoezi
Aaron Ramsey akiwa kona akiwapigia wenzake kona
Gabriel
Hector akivutwa shati na Iwobi
Ozil
Jeff nae kafanya mazoezi na kulia ni Aaron Ramsey
Flamini
Gibbs
Chambers
Per Mertesacker na Laurent
Jeff na Iwobi nao wakijifua
Chambers akibadilishana mawazo na wenzake
0 maoni:
Chapisha Maoni