.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumamosi, 11 Julai 2015

Tagged Under:

Rais Kikwete kathibitisha haya majina matano ya Wagombea Urais waliopitishwa CCM

By: Unknown On: Jumamosi, Julai 11, 2015
  • Share The Gag
  • Pichaz zilianza kusambaa mitandaoni, baadae ikaja stori kuhusu Wagombea walioteuliwa kwenye Urais kupitia CCM.
    Muda unavyozidi kwenda ukweli wa hii stori unachukua nafasi zaidi, kwenye ukurasa wa @Twitter wa Rais JK kathibitisha majina haya matano kupitishwa na Kamati Kuu ya CCM Dodoma.
    “Kamati Kuu imefanya kazi ya kwanza. Majina matano ya awali ni: Bernard Membe John Magufuli Asha Rose Migiro Januari Makamba Amina S. Ali“– @


    CCM II
    Unahitaji chochote nachokipata kikufikie? jiunge na mimi kwenye Twitter, Facebook na Instagram www.denbazita.com

    0 maoni:

    Chapisha Maoni