
Christian Benteke akishangilia bao lake.
Bao
za Liverpool zilifungwa na Benteke dakika ya 48 kipindi cha pili na
lile la Ojo dakika za lala salama dakika ya 87. Bao la Swindon
limefungwa na Obika dakika ya 63 kipindi cha pili mbele ya Mashabiki
wapatao 14,591
Roberto Firmino akiendesha

Benteke kwenye patashika leo

Benteke tena...

Emre Can akisimamishwa!

Lazar Markovic akimiliki mpira

Roberto Firmino akiwa na kipa Lawrence

Christian Benteke akitupia...

Christian akipongezwa!

Benteke akiwa na kipa Lawrence

Benteke na mpira...

Benteke akiwapongeza Mashabiki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni