Liverpool walikuwa wakimsaka Straika huyo wa Belgium tangu
Msimu uliopita kumalizika ingawa hawakuwa tayari kulipa zaidi ya Pauni
25 kumnunua lakini hali yao imebadilika ghafla baada ya kusikia Man
United nao wana nia na Benteke.
Baada ya kumuuza Winga wao Raheem Sterling kwa Manchester City kwa Pauni Milioni 49, Liverpool sasa wanazo Fedha za ziada kumlipia Benteke mwenye Miaka 24.
Tayari
Liverpool imeshanunua Wachezaji wengine 6 kwa ajili ya Msimu ujao ambao
ni Nathaniel Clyne, Roberto Firmino, Danny Ings, Adam Bogdan, Joe Gomez
na James Milner.
Baada ya kumuuza Winga wao Raheem Sterling kwa Manchester City kwa Pauni Milioni 49, Liverpool sasa wanazo Fedha za ziada kumlipia Benteke mwenye Miaka 24.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni