
Oliver Giroud akishangilia leo kwenye Uwanja wa Emirates

Mzee Wenger na Msaidizi wake Bw. Steve B.

Gibbs akikokota mpira dhidi ya adui Mehdi

Alex akifanya yake

Giroud alianza kufunga bao la kwanza

Giroud akishangilia mara baada ya kuliona lango la wapinzani wao Lyon

Ozil akiutuliza kiuzuri!

Leo Mvua ya Mabao

Alex Lwobi akishangilia mbele ya Mashabiki wa Arsenal

Shangwe!!

Aaron Ramsey nae kachoma bao la nne

Ramsey akipongezwa na Giroud

Pongezi!

Mesut Ozil alifunga bao la tano

Ozil akishangilia kwa kufurahi

Santi Cazorla alimalizia la 6

Leo tumebamiza Mtu!! raha ya Nyumbani!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni