Jumamosi, 21 Januari 2017

VIDEO: Ushindi wa 4-1 wa Yanga vs Ashanti United January 21 2017 ASFC


January 21 2017 Mabingwa watetezi wa Kombe la ASFC klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilishuka dimba kuanza kutetea taji lake hilo, kwa kucheza dhidi ya Ashanti United katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Yanga walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 4-1.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni