FULL TIME: STOKE CITY 1 vs 1 MANCHESTER UNITED, ROONEY AIBEBA UNITED NA KUWEKA REKODI UGENINI KWA KUSAWAZISHA BAO.
1-1Juan Mata kawapa zawadi Stoke City dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza.Mata
kajifunga bao dakika ya 19 na kuwapa zawadi Stoke City kipindi cha
kwanza. mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika United 0 Stoke City 1.Man United kwenye harakati za kupunguza pengo na kusonga mbele...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni