Ijumaa, 9 Oktoba 2015

Euro 2016: ENGLAND 2 v 0 ESTONIA, THEO WALCOTT NA RAHEEM STERLING WAIPA USHINDI ENGLAND USIKU HUU! ROONEY APEWA KIATU CHA DHAHABU!


Theo Walcott aitanguliza England mbele.Theo akishangilia goli lake usiku huuTheo Walcott kaifungia England bao dakika ya 45 na kuongoza kwa bao 1-0 dhidi timu ya Estonia, Bao la pili limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 85 na mtanange kumalizika kwa bao Bao 2-0 England wakiibuka na Ushindi.Sir Bobby Charlton akipata picha ya pamoja na Wayne Rooney baada ya kupewa kiatu cha dhahabu kwa kuvunja rekodi ya mabao 49

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni