.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 9 Oktoba 2015

Tagged Under:

Euro 2016: ENGLAND 2 v 0 ESTONIA, THEO WALCOTT NA RAHEEM STERLING WAIPA USHINDI ENGLAND USIKU HUU! ROONEY APEWA KIATU CHA DHAHABU!

By: Unknown On: Ijumaa, Oktoba 09, 2015
  • Share The Gag

  • Theo Walcott aitanguliza England mbele.Theo akishangilia goli lake usiku huuTheo Walcott kaifungia England bao dakika ya 45 na kuongoza kwa bao 1-0 dhidi timu ya Estonia, Bao la pili limefungwa na Raheem Sterling dakika ya 85 na mtanange kumalizika kwa bao Bao 2-0 England wakiibuka na Ushindi.Sir Bobby Charlton akipata picha ya pamoja na Wayne Rooney baada ya kupewa kiatu cha dhahabu kwa kuvunja rekodi ya mabao 49

    0 maoni:

    Chapisha Maoni