.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Ijumaa, 18 Septemba 2015

Tagged Under:

viwanja 10 vya ndege ambavyo ni vya gharama zaidi duniani…

By: Unknown On: Ijumaa, Septemba 18, 2015
  • Share The Gag
  •  


    Wakati Tanzania ikipambana kukamilisha upanuzi wa ujenzi wa uwanja wa ndege ambao utakuwa bora zaidi na kuziwezesha ndege kubwa zaidi duniani kuweza kutua kwa wingi..hapa nimekuwekea list ya viwanja 10 ambavyo vimejengwa kwa gharama zaidi duniani.
    Hii ndiyo list kamili…
    11
    1. Kansai International Airport –Japan: kimetumia dola bilioni 20 kujengwa

    22
    2. Hong Kong International Airport – China, kimetumia dola bilioni 20 kujengwa

    33
    3. Al Maktoum International Airport – Dubai: Kimetumia kiasi cha dola bilioni 12 kujengwa

    44
    4. London Heathrow Airport – Uingereza: Kimetumia dola bilioni 10.5 kujengwa

    55
    5. Beijing Capital International Airport –China: kimetumia dola bilioni 8 kujengwa

    66
    6. Dubai International Airport –Kimetumia dola bilioni 6 kujengwa

    77
    7. Berlin Brandenburg Airport – Ujerumani: Kimetumia kiasi cha dola Bilioni 5.5 billion

    88
    8. Denver International Airport – USA: Kimetumia kiasi cha dola bilioni 4.8 kujengwa

    MALASIA
    9. Kuala Lumpur International Airport – Malaysia: Kimetumia dola bilioni 3.5 kujengwa

    DALAS10. Dallas-Fort Worth International Airport – Texas, Marekani: kimetumia kiasi cha dola bilioni 3.2

    0 maoni:

    Chapisha Maoni