SPANISH PRIMERA DIVISIÓN: REAL MADRID 0 - 0 MALAGA, REAL MADRID YABANWA NYUMBANI BERNABEU!
Cristiano Ronaldo chini akijiuliza huku Malaga wakishangilia sare!
Santiago Bernabeu pawa pagumu kwa Ronaldo kajaribu zaidi ya mara 10 lakini hakupata bao lolote!
Ronaldo akipagawa baada ya kukosa nafasi ya kuifungia bao Real Madrid dhidi ya Malaga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni