Jumatatu, 28 Septemba 2015

LIONEL MESSI AUMIA LEO! KUKAA NJE WIKI 7-8



Lionel Messi chini

Kipa wa Las Palmas Javi Varasakimwangalia Lionel Messi baada ya kuumia mguu

Baadhi ya Wachezaji wakiwa wamemzunguka Messi wakati akipata matibabu Uwanjani!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni