LOWASSA ATUA BUKOBA KWA KISHINDO LEO, MAMIA WAJITOKEZA KATIKA VIWANJA VYA GYMKHANA KWENYE MKUTANO!
Umati
wa Wananchi wa Mji wa Bukoba ukiwa umefurika kwenye Uwanja wa Aghakhan
kuhudhulia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
leo Septemba 19, 2015 Aliekuwa
Meya Mji wa Bukoba, Anatory Amani akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni
za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Gymkhana, Mjini Bukoba, Mkoani Kagera leo Septemba 19, 2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni