
Staili ya mchezo wa kushambulia ya klabu ya Manchester United imekuwa ikishambuliwa na wachambuzi wa michezo msimu huu lakini hakukuwa na mashaka juu ya ubora wa pasi 45 zilizopigwa kabla ya kufungwa kwa goli la tatu dhidi ya Southampton..

Goli hilo Juan Mata lilihakikishia United ushindi muhimu lakini pia limewezq kuingia katika listi ya magoli yaliyofungwa baada ya kupigwa kwa pasi nyingi katika kipindi cha miaka 5 iliyopita ndani ya Barclays Premier League.

Chadli alifunga goli hilo katika mechi ya raundi ya kwanza ya EPL msimu uliopita.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni