

Huyu ni mwimbaji Mrembo kutoka Mauritius aliyefanya watu waenjoy zaidi kwa kutoa burudani kwenye stage
Tamasha hili linafanyika kwa wiki nzima kwenye kisiwa cha Mauritius kuanzia September 1 -6 likiitwa MultiChoice Africa Content Showcase Extravaganza ambalo mwaka huu limehudhuriwa na Waandishi mbalimbali wakiwemo wa Tanzania pamoja na mastaa kutoka nchi mbalimbali wakiwemo Genevieve Nnaji, Ramsey Noah na Mr. Flavour wa Nigeria.

Moja
ya vitu alivyozungumza C.E.O wa MultiChoice Tim Jackobs ni kwamba
kampuni hiyo itaendelea kutoa huduma kwa ubora na kuendeleza malengo
yake makubwa ya kuhakikisha kila mteja anapata zaidi ya matarajio yake
kwenye TV.




0 maoni:
Chapisha Maoni