David De Gea vs Jasper CillessenFukuto na kasheshe la Ramos kwenda Man United bado lipo na sasa limeanza kushika kasi. Ilidhaniwa kuwa dili hilo limekufa kabisa, lakini sasa matumaini yameibuka upya sasa baada ya staa huyo kukataa na kukasirishwa na ofa mpya ya Mshahara wa Timu yake ya sasa Real wa Euro 8.5 Milioni ambapo yeye anataka ipande mpaka Euro 10 milioni ambazo ni sawa na mshahara wa wa pauni 135,000 kwa wiki. Mkataba wa Ramos unamalizika 2017 na United imetajwa kumtaka beki huyo na iko tayari kulipa fedha hizo kwa ajili ya kuimarisha safu yao ya ulinzi msimu huu mpya wa 2015/2016
David De Gea
De Gea jana alitemwa kuidakia United kikosi cha kwanza na aliuangalizia nje kama shabiki
Pedro kutambulishwa jumatano
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni