.

.

.

.

.

.

.

,

,

.

.

Jumatatu, 6 Julai 2015

Tagged Under:

Marekani walivyosheherekea kutwaa ubingwa wa kombe la dunia kwa wanawake…

By: Unknown On: Jumatatu, Julai 06, 2015
  • Share The Gag

  • cha
    Marekani imefanikiwa kuitandika timu ya Japan mabao 5-2 katika fainali ya michuano ya kombe la duniani na kufanikiwa kutawazwa mabingwa wapya.
    Katika mchezo huo Marekani ilifanikiwa kutawala mchezo kwa muda wote kwani ndani ya dakika 15 tayari wailikua wameshafunga mabao 4 na kuwachanganya zaidi wapinzani wao.
    Hapa nimekuwekea pichaz wakati wakishangilia ushindi huo hapa jana.
    MADEMU2

    MADEM4
    MADEM6
    MADEM7
    MADEM8
    kisi
    MADEM9
    MADEM10
    Rais wao Barack Obama hakuwaacha hivi hivi…

    0 maoni:

    Chapisha Maoni