Jumanne, 16 Juni 2015

EDWARD LOWASSA ALIVYOWASILI BUKOBA KUSAKA WADHAMINI LEO TAREHE 15/JUNI/2015



Ndege iliyombeba Mh. Edward Lowassa ikiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba, Mkoani Kagera leo.
Mbunge wa Moduli Edward Lowassa alipowasili Ofisi za CCM Bukoba Manispaa kusaka wadhamini


Sehemu ya wananchi nje ya Ofisi za CCM Bukoba

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Mkoani Kagera Pius Ngeze akiteta jambo na Edward Lowassa

Edward Lowassa alipowasili Ofisi za CCM

Edward Lowassa

Edward Lowassa akiwa kwenye ofisi za CCM Mkoa wa Kagera


Mwenyekiti wa CCM Bukoba Manispaa Yusuph Ngaiza akiteta jambo na Rdward Lowassa

Edward Lowassa akionyesha fomu baada ya kudhaminiwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni