Jumapili, 22 Februari 2015

RATIBA LIGI KUU VODACOM LEO JUMAPILI, HII



Azam FC itakuwa mgeni wa Ruvu Shootings katika uwanja wa Mabatini wakijaribu kuongeza tofauti ya pointi na Yanga ili kuendelea kushika usukani wa ‪#‎VPL‬. Itaweza kuondoka na ushindi dhidi ya timu iliyokamia kutofungwa nyumbani?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni