
Kikosi cha Barcelona

Kwenye Uwanja wa Stadio Artemio Franchi, Italy
Fiorentina wanaongoza bao 2-0 dhidi ya
Barcelona, Mpaka sasa ni kipindi cha kwanza kinaendelea...Bao za
Fiorentina zimefungwa na Mchezaji mmoja Federico Bernardeschi dakika ya 4
na lile la Federico Bernardeschi dakika ya 12.
Barcelona wana bao 1 lililofungwa na Luis Suárez dakika ya 17.
Mtanange huo ulimazika dakika 90 kwa bao 2-1
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni