
Wachezaji wa Man United wakiwa mazoezini na hapa wakimsikiliza kwanza Meneja Van Gaal

Kipa David de Gea nae ndani kwenye zoezi

Antonio na Ander Herrera wakinyonga!

Depay

Depay na Bastian

Mazoezini tayari kwa mitanange ya kujiandaa na msimu mpya 205/2016

No.1

Wayne Rooney na Michael Carrick kwenye zoezi

Bastian Schweinsteiger

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni